Obadia 1:3
Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, 2 wewe unayeishi katika majabali ya miamba 2 na kufanya makao yako juu, 1 wewe unayejiambia mwenyewe, 2 ‘Ni nani awezaye kunishusha chini?’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2“Angalieni, nitawafanya wadogo miongoni mwa mataifa, 2 mtadharauliwa kabisa. 1
Cross References
Genesis 36:8Kwa hiyo Esau (ambaye ni Edomu) aliishi katika nchi ya kilima huko Seiri.
2 Chronicles 25:12Jeshi la Yuda pia likawateka watu 10,000 wakiwa hai, likawapandisha juu ya jabali na kuwatupa chini kwa nguvu hata wote wakavunjika vipande vipande.
Proverbs 18:12Kabla ya anguko moyo wa mtu hujaa kiburi, 2 bali unyenyekevu hutangulia heshima. 1
Isaiah 10:14Kama mtu atiavyo mkono kwenye kiota, 2 ndivyo mkono wangu ulivyochukua utajiri wa mataifa; 1 kama watu wakusanyavyo mayai yaliyoachwa, 2 ndivyo nilivyokusanya nchi zote; 1 wala hakuna hata mmoja aliyepiga bawa 2 au kufungua kinywa chake kutoa mlio.’ ” 1
Isaiah 14:15Lakini umeshushwa chini hadi kuzimu, 2 hadi kwenye vina vya shimo. 1
Isaiah 47:7Ukasema, ‘Nitaendelea 2 kuwa malkia milele!’ 1 Lakini hukutafakari mambo haya 2 wala hukuwaza juu ya kile kingeweza kutokea. 1