2 Samweli 17:5
Lakini Absalomu akasema, “Pia mwiteni Hushai, Mwariki, ili tuweze kusikia anachokisema.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then said Absalom, Call now Hushai the Archite also, and let us hear likewise what he saith.
In Context
4Mpango huu ulionekana mzuri kwa Absalomu na kwa wazee wote wa Israeli.
Cross References
2 Samuel 15:32Daudi alipofika kwenye kilele cha mlima, mahali ambapo watu walikuwa wamezoea kumwabudu Mungu, Hushai, Mwariki, alikuwako huko kumlaki, joho lake likiwa limeraruka na mavumbi kichwani mwake.
2 Samuel 16:16Ndipo Hushai, Mwariki, rafiki wa Daudi, akamwendea Absalomu na kumwambia, “Mfalme aishi maisha marefu! Mfalme aishi maisha marefu!”