2 Samweli 17:4
Mpango huu ulionekana mzuri kwa Absalomu na kwa wazee wote wa Israeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the saying pleased Absalom well, and all the elders of Israel.
In Context
5Lakini Absalomu akasema, “Pia mwiteni Hushai, Mwariki, ili tuweze kusikia anachokisema.”
Cross References
1 Samuel 23:21Sauli akajibu, “ Bwana awabariki kwa kunifikiria.
Esther 1:21Mfalme na wakuu wake walipendezwa na shauri hili, hivyo basi mfalme akafanya kama Memukani alivyopendekeza.
Romans 1:32Ingawa wanafahamu sheria ya haki ya Mungu kwamba watu wanaofanya mambo kama hayo wanastahili mauti, si kwamba wanaendelea kutenda hayo tu, bali pia wanakubaliana na wale wanaoyatenda.