bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 18 › 2 Samweli 18:11
2 Samweli 18:11
Yoabu akamwambia huyo mtu, “Nini! Ulimwona Absalomu? Kwa nini hukumpiga papo hapo mpaka chini? Ndipo ningekupa shekeli kumi + 18:11 Shekeli kumi za fedha ni sawa na gramu 115. za fedha na mkanda wa askari shujaa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Joab said unto the man that told him, And, behold, thou sawest him, and why didst thou not smite him there to the ground? and I would have given thee ten shekels of silver, and a girdle.
In Context
10Mmojawapo wa wale watu alipoona, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akiningʼinia kwenye mti wa mwaloni.”
12Lakini huyo mtu akamjibu Yoabu, “Hata kama ningepimiwa shekeli 1,000 + 18:12 Shekeli 1,000 za fedha ni sawa na kilo 11.5. mikononi mwangu, nisingeinua mkono wangu dhidi ya mwana wa mfalme. Tukiwa tunasikia, mfalme alikuagiza wewe na Abishai pamoja na Itai, akisema, ‘Mlindeni kijana Absalomu kwa ajili yangu.’
Read all of 2 Samweli 18
Cross References
2 Samuel 19:13Nanyi mwambieni Amasa, ‘Je, wewe si nyama yangu mwenyewe na damu yangu? Mungu na anishughulikie, tena kwa ukali, kama kuanzia sasa na kuendelea wewe si jemadari wa jeshi langu mahali pa Yoabu.’ ”
Proverbs 1:19Huu ndio mwisho wa wote ambao wanajipatia mali kwa hila; 2 huuondoa uhai wa wale wenye mali. 1 Onyo Dhidi Ya Kukataa Hekima 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 18:11