bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 18 › 2 Samweli 18:12
2 Samweli 18:12
Lakini huyo mtu akamjibu Yoabu, “Hata kama ningepimiwa shekeli 1,000 + 18:12 Shekeli 1,000 za fedha ni sawa na kilo 11.5. mikononi mwangu, nisingeinua mkono wangu dhidi ya mwana wa mfalme. Tukiwa tunasikia, mfalme alikuagiza wewe na Abishai pamoja na Itai, akisema, ‘Mlindeni kijana Absalomu kwa ajili yangu.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the man said unto Joab, Though I should receive a thousand shekels of silver in mine hand, yet would I not put forth mine hand against the king’s son: for in our hearing the king charged thee and Abishai and Ittai, saying, Beware that none touch the young man Absalom.
In Context
11Yoabu akamwambia huyo mtu, “Nini! Ulimwona Absalomu? Kwa nini hukumpiga papo hapo mpaka chini? Ndipo ningekupa shekeli kumi + 18:11 Shekeli kumi za fedha ni sawa na gramu 115. za fedha na mkanda wa askari shujaa.”
13Nami kama ningekuwa nimemtendea kwa hila, na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme, wewe mwenyewe ungejitenga nami.”
Read all of 2 Samweli 18
Cross References
2 Samuel 19:1Yoabu akaambiwa, “Mfalme analia na kumwombolezea Absalomu.”
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 18:12