bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 18 › 2 Samweli 18:25
2 Samweli 18:25
Mlinzi akampazia mfalme sauti na kumpa taarifa. Mfalme akasema, “Ikiwa yuko peke yake, lazima atakuwa na habari njema.” Naye yule mtu akazidi kusogea karibu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the watchman cried, and told the king. And the king said, If he be alone, there is tidings in his mouth. And he came apace, and drew near.
In Context
24Wakati Daudi alipokuwa ameketi kati ya lango la ndani na la nje, mlinzi akapanda juu ya paa la lango kupitia ukutani. Alipotazama nje, akaona mtu mmoja akikimbia peke yake.
26Kisha mlinzi akaona mtu mwingine anakuja akikimbia, akamwita bawabu, “Tazama, mtu mwingine anakuja akikimbia peke yake!” Mfalme akasema, “Lazima atakuwa analeta habari njema pia.”
Read all of 2 Samweli 18
Cross References
Isaiah 21:6Hili ndilo Bwana analoniambia: 1 “Nenda, weka mlinzi, 2 na atoe taarifa ya kile anachokiona. 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 18:25