The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 21 › Isaiah 21:6

Isaiah 21:6

Hili ndilo Bwana analoniambia: 1 “Nenda, weka mlinzi, 2 na atoe taarifa ya kile anachokiona. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For thus hath the Lord said unto me, Go, set a watchman, let him declare what he seeth.

In Context

5Wanaandaa meza, 2 wanatandaza mazulia, 2 wanakula, wanakunywa! 2 Amkeni, enyi maafisa, 2 zitieni ngao mafuta!

7Anapoona magari ya vita 2 pamoja na kundi la farasi, 1 wapanda punda au wapanda ngamia, 2 na awe macho, awe macho kikamilifu.”

Read all of Isaiah 21

Cross References

2 Samuel 18:25Mlinzi akampazia mfalme sauti na kumpa taarifa. Mfalme akasema, “Ikiwa yuko peke yake, lazima atakuwa na habari njema.” Naye yule mtu akazidi kusogea karibu.

Isaiah 62:6Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, ee Yerusalemu, 2 hawatanyamaza mchana wala usiku. 1 Ninyi wenye kumwita Bwana, 2 msitulie, 1

Ezekiel 3:17“Mwanadamu, nimekufanya uwe mlinzi wa nyumba ya Israeli, kwa hiyo sikia neno nisemalo, ukawape onyo litokalo kwangu.

Habakkuk 2:1Nitasimama katika zamu yangu, 2 na kujiweka mwenyewe juu ya maboma; 1 nitatazama nione atakaloniambia, 2 na ni jibu gani nitakalotoa kuhusu lalamiko hili. 1 Jibu La Bwana

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 21:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 21:5Isaiah 21Isaiah 21:7 →