The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 18 › 2 Samweli 18:8

2 Samweli 18:8

Vita vikaenea nchi nzima, watu wengi zaidi wakifia msituni siku hiyo kuliko waliouawa kwa upanga.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the battle was there scattered over the face of all the country: and the wood devoured more people that day than the sword devoured.

In Context

7Huko jeshi la Israeli likashindwa na watu wa Daudi, siku hiyo majeruhi walikuwa wengi kiasi cha watu ishirini elfu.

9Basi ikawa Absalomu alikutana na watu wa Daudi. Yeye alikuwa amepanda nyumbu wake, naye nyumbu alipopita chini ya matawi yaliyosongana ya mwaloni mkubwa, kichwa cha Absalomu kilinaswa kwenye mti. Akaachwa akiningʼinia hewani, wakati nyumbu aliyekuwa amempanda aliendelea kwenda.

Read all of 2 Samweli 18

Cross References

Exodus 15:10Lakini ulipuliza kwa pumzi yako, 2 bahari ikawafunika. 1 Wakazama kama risasi 2 kwenye maji makuu. 1

Judges 5:20Kutoka mbinguni nyota zilipigana, 2 nyota kutoka njia zake 2 zilipigana na Sisera. 1

Psalms 3:7Ee Bwana, amka! 2 Niokoe, Ee Mungu wangu! 1 Wapige adui zangu wote kwenye taya, 2 vunja meno ya waovu. 1

Proverbs 24:21Mwanangu, mche Bwana na mfalme, 2 wala usijiunge na waasi, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 18:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 18:72 Samweli 182 Samweli 18:9 →