The Bible Software
bible.software › Kutoka › Kutoka 15 › Kutoka 15:10

Kutoka 15:10

Lakini ulipuliza kwa pumzi yako, 2 bahari ikawafunika. 1 Wakazama kama risasi 2 kwenye maji makuu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou didst blow with thy wind, the sea covered them: they sank as lead in the mighty waters.

In Context

9“Adui alijivuna, 2 ‘Nitawafuatia, nitawapata. 1 Nitagawanya nyara; 2 nitajishibisha kwa wao. 1 Nitafuta upanga wangu 2 na mkono wangu utawaangamiza.’ 1

11“Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana? 2 Ni nani kama Wewe: 3 uliyetukuka katika utakatifu, 3 utishaye katika utukufu, 3 ukitenda maajabu? 1

Read all of Kutoka 15

Cross References

Genesis 8:1Mungu akamkumbuka Noa na wanyama wote wa porini na wa kufugwa waliokuwa naye ndani ya safina, akatuma upepo ukavuma katika dunia, nayo maji yakaondoka.

Exodus 14:27Mose akanyoosha mkono wake juu ya bahari, wakati wa mapambazuko bahari ikarudiana na kuwa kama kawaida. Wamisri wakajaribu kuyakimbia maji, lakini Bwana akawasukumia ndani ya bahari.

Deuteronomy 11:4lile alilolifanyia jeshi la Wamisri, farasi na magari yake, jinsi alivyowafurikisha na maji ya Bahari ya Shamu walipokuwa wakiwafuatilia ninyi, na jinsi Bwana alivyowaletea angamizo la kudumu juu yao.

Nehemiah 9:11Ukagawa bahari mbele yao, ili waweze kupita katikati yake penye nchi kavu, lakini uliwatupa Wamisri waliowafuatilia katika vilindi, kama jiwe kwenye maji mengi.

Psalms 135:7Hufanya mawingu kupanda kutoka miisho ya dunia; 2 hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua 2 na huleta upepo kutoka ghala zake. 1

Isaiah 11:15Bwana atakausha 2 ghuba ya bahari ya Misri; 1 kwa upepo mkavu ataupeleka mkono wake 2 juu ya Mto Frati. 1 Ataugawanya katika vijito saba 2 ili watu waweze kuuvuka wakiwa wamevaa viatu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 15:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 15:9Kutoka 15Kutoka 15:11 →