The Bible Software
bible.software2 Samweli2 Samweli 19 › 2 Samweli 19:7

2 Samweli 19:7

Sasa utoke nje ukawatie moyo watu wako. Naapa kwa Bwana kwamba ikiwa hutatoka nje, hakuna mtu atakayesalia pamoja nawe ifikapo leo jioni. Hii itakuwa mbaya zaidi kwako kuliko maafa yote yaliyokupata tangu ujana wako hadi sasa.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now therefore arise, go forth, and speak comfortably unto thy servants: for I swear by the LORD, if thou go not forth, there will not tarry one with thee this night: and that will be worse unto thee than all the evil that befell thee from thy youth until now.

In Context

6Unawapenda wale wanaokuchukia, na unawachukia wale wanaokupenda. Leo umeonyesha wazi kwamba majemadari wako na watu wao hawana maana kwako. Naona kwamba ungefurahi kama Absalomu angekuwa hai leo na sisi sote tuwe tumekufa.

8Kwa hiyo mfalme akaondoka akaketi kitini pake penye lango. Watu walipoambiwa, “Mfalme ameketi langoni,” watu wote wakamjia. 1 Daudi Arudi Yerusalemu Wakati huo, Waisraeli walikuwa wamekimbilia nyumbani kwao.

Read all of 2 Samweli 19

Cross References

Genesis 34:3Moyo wake ukavutwa sana kwa Dina binti Yakobo, akampenda huyu msichana na akazungumza naye kwa kumbembeleza.

Psalms 71:9Usinitupe wakati wa uzee, 2 wala usiniache nguvu zangu zinapopungua. 1

Psalms 129:1Wamenionea mno tangu ujana wangu; 2 Israeli na aseme sasa: 1

Proverbs 19:15Uvivu huleta usingizi mzito, 2 naye mtu mzembe huona njaa. 1

Hosea 2:14“Kwa hiyo sasa nitamshawishi; 2 nitamwongoza hadi jangwani 2 na kuzungumza naye kwa upole. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 19:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 19:62 Samweli 192 Samweli 19:8 →