Hosea 2:14
“Kwa hiyo sasa nitamshawishi; 2 nitamwongoza hadi jangwani 2 na kuzungumza naye kwa upole. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 34:3Moyo wake ukavutwa sana kwa Dina binti Yakobo, akampenda huyu msichana na akazungumza naye kwa kumbembeleza.
Song of Solomon 1:4Nichukue twende nawe, na tufanye haraka! 1 Mfalme na anilete ndani ya vyumba vyake. Marafiki 1 Tunakushangilia na kukufurahia, 1 tutasifu upendo wako zaidi kuliko divai. Mpendwa 1 Tazama jinsi ilivyo bora wakupende! 1
Isaiah 30:18Hata hivyo Bwana anatamani kutupatia neema, 2 anainuka ili kuwaonyesha huruma. 1 Kwa kuwa Bwana ni Mungu wa haki. 2 Wamebarikiwa wote wanaomngojea yeye!
Isaiah 40:1Wafarijini, wafarijini watu wangu, 2 asema Mungu wenu. 1
Isaiah 51:3Hakika Bwana ataifariji Sayuni, 2 naye atayaangalia kwa huruma magofu yake yote; 1 atayafanya majangwa yake yawe kama Edeni, 2 nazo sehemu zake zisizolimika ziwe kama bustani ya Bwana. 1 Shangwe na furaha zitakuwako ndani yake, 2 shukrani na sauti za kuimba. 1
Jeremiah 3:12Nenda, ukatangaze ujumbe huu kuelekea kaskazini: 1 “ ‘Rudi, Israeli usiye mwaminifu,’ asema Bwana, 2 ‘sitakutazama tena kwa uso uliokunjamana, 1 kwa kuwa mimi ni mwenye huruma,’ asema Bwana, 2 ‘Sitashika hasira yangu milele. 1