The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 20 › 2 Samweli 20:26

2 Samweli 20:26

na Ira, Myairi, alikuwa kuhani wa Daudi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Ira also the Jairite was a chief ruler about David.

In Context

25Sheva + 20:25 Sheva mahali pengine ameitwa Shausha ( 1Nya 18:16; 1Fal 4:3 ). alikuwa mwandishi; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani;

Read all of 2 Samweli 20

Cross References

Genesis 41:45Farao akamwita Yosefu Safenath-Panea, pia akampa Asenathi binti Potifera, kuhani wa mji wa Oni, + 41:45 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua). kuwa mke wake. Ndipo Yosefu akaitembelea nchi yote ya Misri.

Exodus 2:16Kuhani wa Midiani alikuwa na binti saba, nao wakaja kisimani ili kuchota maji na kujaza hori kwa ajili ya kunyweshea mifugo ya baba yao.

Deuteronomy 3:14Yairi, mzao wa kabila la Manase, alichukua eneo lote la nchi ya Argobu hadi kufikia mpaka wa Wageshuri na Wamaaka, ukaitwa kwa jina lake; kwa hiyo mpaka leo hii Bashani inaitwa Hawoth-Yairi.)

2 Samuel 8:18Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa msimamizi wa Wakerethi na Wapelethi; nao wana wa Daudi walikuwa washauri wa mfalme.

1 Kings 4:5Azaria mwana wa Nathani: kiongozi wa maafisa wa wilaya; 1 Zabudi mwana wa Nathani: kuhani na mshauri binafsi wa mfalme; 1

2 Chronicles 35:15Waimbaji, wazao wa Asafu, walikuwa katika nafasi zao, kama ilivyoagizwa na Mfalme Daudi, Asafu, Hemani na Yeduthuni mwonaji wa Mfalme. Mabawabu katika kila lango hawakuhitaji kuacha nafasi zao kwa sababu Walawi wenzao walifanya maandalizi kwa ajili yao.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 20:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 20:252 Samweli 20