2 Samweli 20:9
Yoabu akamwambia Amasa, “U hali gani, ndugu yangu?” Kisha Yoabu akamshika Amasa ndevu kwa mkono wake wa kuume ili ambusu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 55:21Mazungumzo yake ni laini kama siagi, 2 hata hivyo vita vimo moyoni mwake. 1 Maneno yake ni mororo kuliko mafuta, 2 hata hivyo ni upanga mkali uliofutwa. 1
Proverbs 26:24Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake, 2 lakini moyoni mwake huficha udanganyifu. 1
Micah 7:2Wanaomcha Mungu wameondolewa kutoka nchi; 2 hakuna mtu mnyofu hata mmoja aliyebaki. 1 Watu wote wanavizia kumwaga damu, 2 kila mmoja anamwinda ndugu yake kwa wavu. 1
Luke 22:47Yesu alipokuwa bado anazungumza, umati mkubwa wa watu ukaja. Uliongozwa na Yuda, ambaye alikuwa mmoja wa wale wanafunzi Kumi na Wawili. Akamkaribia Yesu ili ambusu.