Psalms 55:21
Mazungumzo yake ni laini kama siagi, 2 hata hivyo vita vimo moyoni mwake. 1 Maneno yake ni mororo kuliko mafuta, 2 hata hivyo ni upanga mkali uliofutwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Mwenzangu hushambulia rafiki zake, 2 naye huvunja agano lake. 1
22Mtwike Bwana fadhaa zako, 2 naye atakutegemeza, 2 hatamwacha kamwe mwenye haki wake aanguke. 1
Cross References
2 Samuel 16:19Zaidi ya hayo, nimtumikie nani? Je, nisimtumikie mwana? Kama vile nilivyomtumikia baba yako, ndivyo nitakavyokutumikia wewe.”
Psalms 12:2Kila mmoja humwambia jirani yake uongo; 2 midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu. 1
Psalms 57:4Niko katikati ya simba, 2 nimelala katikati ya wanyama wenye njaa kuu: 2 watu ambao meno yao ni mikuki na mishale, 2 ambao ndimi zao ni panga kali. 1
Psalms 62:4Walikusudia kikamilifu kumwangusha 2 toka mahali pake pa fahari; 2 wanafurahia uongo. 1 Kwa vinywa vyao hubariki, 2 lakini ndani ya mioyo yao hulaani. 1
Proverbs 5:3Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba 2 hudondoza asali, 1 na maneno ya kinywa chake 2 ni laini kuliko mafuta; 1
Proverbs 26:24Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake, 2 lakini moyoni mwake huficha udanganyifu. 1