The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:11

2 Samweli 22:11

Alipanda juu ya kerubi akaruka, 2 akapaa juu kwa mbawa za upepo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he rode upon a cherub, and did fly: and he was seen upon the wings of the wind.

In Context

10Akazipasua mbingu akashuka chini, 2 mawingu meusi yalikuwa chini ya miguu yake. 1

12Alifanya giza hema lake la kujifunika: 2 mawingu meusi ya mvua ya angani. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

Exodus 25:19Tengeneza kerubi mmoja kwenye mwisho mmoja, na kerubi mwingine kwenye mwisho mwingine; watengeneze makerubi hao wawe kitu kimoja na hicho kifuniko katika miisho hiyo miwili.

Psalms 18:10Alipanda juu ya kerubi akaruka, 2 akapaa juu kwa mbawa za upepo. 1

Psalms 80:1Ee Mchungaji wa Israeli tusikie, 2 wewe umwongozaye Yosefu kama kundi; 1 wewe uketiye katika kiti cha enzi 2 katikati ya makerubi, angaza 2

Psalms 104:3na kuziweka nguzo za orofa yake juu ya maji. 1 Huyafanya mawingu kuwa gari lake, 2 na hupanda kwenye mbawa za upepo. 1

Ezekiel 9:3Basi utukufu wa Mungu wa Israeli ukaondoka hapo juu ya makerubi, ulikokuwa umekaa, ukaenda kwenye kizingiti cha Hekalu. Ndipo Bwana akamwita yule mtu aliyevaa kitani safi aliyekuwa na vifaa vya mwandishi akiwa amevishikilia upande wake mmoja,

Hebrews 1:14Je, malaika wote si roho watumikao, waliotumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:102 Samweli 222 Samweli 22:12 →