2 Samweli 22:10
Akazipasua mbingu akashuka chini, 2 mawingu meusi yalikuwa chini ya miguu yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He bowed the heavens also, and came down; and darkness was under his feet.
In Context
11Alipanda juu ya kerubi akaruka, 2 akapaa juu kwa mbawa za upepo. 1
Cross References
Exodus 20:21Watu wakabaki mbali, wakati Mose alipolisogelea lile giza nene mahali pale Mungu alipokuwa. 1 Sanamu Na Madhabahu
1 Kings 8:12Ndipo Solomoni akasema, “ Bwana alisema kwamba ataishi katika giza nene;
Psalms 104:3na kuziweka nguzo za orofa yake juu ya maji. 1 Huyafanya mawingu kuwa gari lake, 2 na hupanda kwenye mbawa za upepo. 1
Isaiah 63:19Sisi tumekuwa kama wale ambao hujawatawala kamwe, 1 kama wale ambao hawajaitwa kwa jina lako.
Nahum 1:3Bwana si mwepesi wa hasira naye ni mwenye nguvu, 2 Bwana hataacha kuadhibu wenye hatia. 1 Njia yake ipo katika kisulisuli na tufani, 2 na mawingu ni vumbi la miguu yake. 1
Luke 23:44Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa,