2 Samuel 22:13
Kutokana na mwanga wa uwepo wake 2 mawingu yalisogea, 1 ikanyesha mvua ya mawe 2 na umeme wa radi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Through the brightness before him were coals of fire kindled.
In Context
12Alifanya giza hema lake la kujifunika: 2 mawingu meusi ya mvua ya angani. 1
14Bwana alinguruma kutoka mbinguni, 2 sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika. 1
Cross References
Exodus 24:17Kwa Waisraeli utukufu wa Bwana ulionekana kama moto uteketezao juu ya mlima.