Kutoka 24:17
Kwa Waisraeli utukufu wa Bwana ulionekana kama moto uteketezao juu ya mlima.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 3:2Huko malaika wa Bwana akamtokea Mose katika mwali wa moto kutoka kichakani. Mose akaona kwamba ingawa kile kichaka kilikuwa kinawaka moto, kilikuwa hakiteketei.
Exodus 19:18Mlima Sinai ulikuwa umefunikwa na moshi, kwa sababu Bwana alishuka juu yake katika moto. Moshi wa moto huo ulipanda juu kama moshi kutoka kwenye tanuru kubwa na mlima wote ukatetemeka kwa nguvu nyingi,
Deuteronomy 4:36Kutoka mbinguni amewasikizisha sauti yake ili kuwaadilisha. Hapa duniani aliwaonyesha moto wake mkubwa, nanyi mlisikia maneno yake kutoka kwenye ule moto.
2 Samuel 22:13Kutokana na mwanga wa uwepo wake 2 mawingu yalisogea, 1 ikanyesha mvua ya mawe 2 na umeme wa radi. 1
Ezekiel 1:28Kama vile kuonekana kwa upinde wa mvua mawinguni siku ya mvua, ndivyo ulivyokuwa ule mngʼao uliomzunguka. Hivi ndivyo ilivyokuwa kuonekana kwa utukufu wa Bwana. Nilipouona, nikaanguka kifudifudi, nikasikia sauti ya mtu anaongea.
Habakkuk 3:4Mngʼao wake ulikuwa kama jua lichomozalo; 2 mionzi ilimulika kutoka mkononi mwake, 2 ambako nguvu zake zilifichwa. 1