The Bible Software
bible.software2 Samuel2 Samuel 22 › 2 Samuel 22:21

2 Samuel 22:21

“ Bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; 2 sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD rewarded me according to my righteousness: according to the cleanness of my hands hath he recompensed me.

In Context

20Alinileta nje mahali penye nafasi tele, 2 akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. 1

22Kwa maana nimezishika njia za Bwana; 2 sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. 1

Read all of 2 Samuel 22

Cross References

2 Samuel 22:25Bwana amenilipa sawasawa na uadilifu wangu, 2 sawasawa na usafi wangu machoni pake. 1

1 Kings 8:32basi, sikia kutoka mbinguni na ukatende. Hukumu kati ya watumishi wako, ukimhukumu yule mwenye hatia na kuleta juu ya kichwa chake yale aliyoyatenda. Umtangazie mwenye haki kwamba hana hatia, hivyo ukathibitishe kuwa haki kwake.

Psalms 7:3Ee Bwana, Mungu wangu, kama nimetenda haya 2 na kuna hatia mikononi mwangu, 1

Psalms 18:20Bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; 2 sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa. 1

Psalms 24:4Ni yule mwenye mikono safi na moyo mweupe, 2 yule ambaye hakuinulia sanamu nafsi yake 2 au kuapa kwa kitu cha uongo. 1

James 4:8Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu ninyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu ninyi wenye nia mbili.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samuel 22:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samuel 22:202 Samuel 222 Samuel 22:22 →