2 Samweli 22:23
Sheria zake zote zi mbele yangu, 2 wala sijayaacha maagizo yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For all his judgments were before me: and as for his statutes, I did not depart from them.
In Context
22Kwa maana nimezishika njia za Bwana; 2 sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. 1
24Nimekuwa sina hatia mbele zake, 2 nami nimejilinda nisitende dhambi. 1
Cross References
Deuteronomy 6:1Haya ndiyo maagizo, amri na sheria ambazo Bwana Mungu wenu aliniagiza niwafundishe ninyi ili mpate kuyashika katika nchi ambayo ninyi mnavuka Yordani kuimiliki,
Deuteronomy 7:12Kama mkizingatia sheria hizi na kuzifuata kwa uangalifu, basi Bwana Mungu wenu atatunza Agano lake la upendo nanyi, kama alivyowaapia baba zenu.
Deuteronomy 17:20naye asijifikirie kuwa ni bora kuliko ndugu zake na kuipotosha sheria. Ndipo yeye na wazao wake watatawala katika ufalme wake kwa muda mrefu katika Israeli.
Psalms 119:6Hivyo mimi sitaaibishwa 2 ninapozingatia amri zako zote. 1
Psalms 119:30Nimechagua njia ya kweli, 2 nimekaza moyo wangu katika sheria zako. 1
Psalms 119:102Sijaziacha sheria zako, 2 kwa kuwa umenifundisha wewe mwenyewe. 1