The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:42

2 Samweli 22:42

Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa; 2 walimlilia Bwana, lakini hakuwajibu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They looked, but there was none to save; even unto the LORD, but he answered them not.

In Context

41Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia, 2 nami nikawaangamiza adui zangu. 1

43Niliwaponda kama mavumbi ya nchi; 2 niliwaponda na kuwakanyaga kama tope barabarani. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

Job 27:9Je, Mungu husikiliza kilio chake, 2 shida zimjiapo? 1

Isaiah 1:15Mnaponyoosha mikono yenu katika maombi, 2 nitaficha macho yangu nisiwaone; 1 hata mkiomba maombi mengi 2 sitasikiliza. 1 Mikono yenu imejaa damu; 2

Micah 3:4Kisha watamlilia Bwana, 2 lakini hatawajibu. 1 Wakati huo atawaficha uso wake 2 kwa sababu ya uovu waliotenda.

Luke 13:25Wakati mwenye nyumba atakapoondoka na kufunga mlango, mtasimama nje mkibisha mlango na kusema, ‘Bwana! Tufungulie mlango!’ “Lakini yeye atawajibu, ‘Siwajui ninyi, wala mtokako.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:42

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:412 Samweli 222 Samweli 22:43 →