Ayubu 27:9
Je, Mungu husikiliza kilio chake, 2 shida zimjiapo? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Will God hear his cry when trouble cometh upon him?
In Context
10Je, anaweza kumfurahia Mwenyezi? 2 Je, atamwita Mungu nyakati zote? 1
Cross References
Job 35:12Yeye hajibu wakati watu waliapo 2 kwa sababu ya kiburi cha watu waovu. 1
Psalms 18:42Niliwaponda kama mavumbi yanayopeperushwa na upepo; 2 niliwamwaga nje kama tope barabarani. 1
Psalms 109:7Anapohukumiwa, apatikane na hatia, 2 nayo maombi yake yamhukumu. 1
Proverbs 28:9Kama mtu yeyote akikataa kusikia sheria, 2 hata maombi yake ni chukizo. 1
Jeremiah 11:11Kwa hivyo, hili ndilo asemalo Bwana: ‘Nitaleta juu yao maafa ambayo hawawezi kuyakimbia. Hata kama wakinililia, sitawasikiliza.
Ezekiel 8:18Kwa hiyo nitashughulika nao kwa hasira, sitawaonea huruma wala kuwaachilia. Wajapopiga makelele masikioni mwangu, sitawasikiliza.”