2 Samweli 22:44
“Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu wangu; 2 umenihifadhi mimi kama kiongozi wa mataifa. 1 Watu ambao sikuwajua wananitumikia, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
43Niliwaponda kama mavumbi ya nchi; 2 niliwaponda na kuwakanyaga kama tope barabarani. 1
45nao wageni huja wakininyenyekea, 2 mara wanisikiapo, hunitii. 1
Cross References
Deuteronomy 28:13Bwana atakufanya kichwa, wala si mkia. Kama utazingatia maagizo ya Bwana Mungu wako ninayokupa siku hii ya leo na kuyafuata kwa bidii, daima utakuwa juu, kamwe hutakuwa chini.
2 Samuel 5:1Makabila yote ya Israeli yakamjia Daudi huko Hebroni na kumwambia, “Sisi tu nyama yako na damu yako hasa.
2 Samuel 18:6Jeshi likatoka kwenda kwenye uwanja wa vita kupigana na Israeli, hivyo vita vikapiganwa katika msitu wa Efraimu.
2 Samuel 19:14Aliipata mioyo ya watu wote wa Yuda kama vile walikuwa mtu mmoja. Wakapeleka ujumbe kwa mfalme, kusema, “Rudi, wewe na watu wako wote.”
2 Samuel 20:22Ndipo huyo mwanamke akaenda kwa watu wote akiwa na ushauri wake wa busara, nao wakakata kichwa cha Sheba mwana wa Bikri na kumtupia Yoabu. Kwa hiyo Yoabu akapiga tarumbeta, na watu wake wakatawanyika kutoka mjini, kila mmoja akirejea nyumbani kwake. Naye Yoabu akarudi kwa mfalme huko Yerusalemu.
Psalms 2:8Niombe, nami nitayafanya mataifa 2 kuwa urithi wako, 2 miisho ya dunia kuwa milki yako. 1