2 Samweli 22:45
nao wageni huja wakininyenyekea, 2 mara wanisikiapo, hunitii. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Strangers shall submit themselves unto me: as soon as they hear, they shall be obedient unto me.
In Context
46Wote wanalegea, 2 wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. 1
Cross References
Deuteronomy 33:29Ee Israeli, wewe umebarikiwa! 2 Ni nani kama wewe, 2 taifa lililookolewa na Bwana? 1 Yeye ni ngao yako na msaada wako, 2 na upanga wako uliotukuka. 1 Adui zako watatetemeka mbele yako, 2 nawe utapakanyaga 2 mahali pao pa juu.” + 33:29 Utapakanyaga mahali pao pa juu maana yake mtakanyaga juu ya miili yao.
Psalms 66:3Mwambieni Mungu, “Jinsi gani yalivyo ya kutisha matendo yako! 2 Uwezo wako ni mkuu mno kiasi kwamba 2 adui wananyenyekea mbele zako. 1
Isaiah 56:3Usimwache mgeni aambatanaye na Bwana aseme, 2 “Hakika Bwana atanitenga na watu wake.” 1 Usimwache towashi yeyote alalamike akisema, 2 “Mimi ni mti mkavu tu.”
Acts 8:13Simoni naye akaamini na akabatizwa. Akamfuata Filipo kila mahali, akistaajabishwa na ishara kuu na miujiza aliyoiona.