2 Samweli 23:29
Heledi mwana wa Baana, Mnetofathi; 2 Itai mwana wa Ribai kutoka Gibea ya Benyamini; 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Salmoni, Mwahohi; 2 Maharai, Mnetofathi; 2
30Benaya Mpirathoni; 2 Hidai kutoka mabonde ya Gaashi; 2
Cross References
1 Samuel 13:2Sauli alichagua watu 3,000 kutoka Israeli; miongoni mwa hao watu 2,000 walikuwa pamoja naye huko Mikmashi na katika nchi ya vilima ya Betheli, nao watu 1,000 walikuwa pamoja na Yonathani huko Gibea ya Benyamini. Watu waliosalia aliwarudisha nyumbani mwao.
1 Chronicles 27:15Jemadari wa kumi na mbili kwa mwezi wa kumi na mbili alikuwa Heldai Mnetofathi kutoka jamaa ya Othnieli. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 1 Maafisa Wa Makabila 1
Nehemiah 7:26watu wa Bethlehemu na Netofa 2 188 1