The Bible Software
bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 27 › 1 Nyakati 27:15

1 Nyakati 27:15

Jemadari wa kumi na mbili kwa mwezi wa kumi na mbili alikuwa Heldai Mnetofathi kutoka jamaa ya Othnieli. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 1 Maafisa Wa Makabila 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The twelfth captain for the twelfth month was Heldai the Netophathite, of Othniel: and in his course were twenty and four thousand.

In Context

14Jemadari wa kumi na moja kwa mwezi wa kumi na moja alikuwa Benaya Mpirathoni wa Waefraimu. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 1

16Maafisa waliokuwa wanaoongoza makabila ya Israeli walikuwa: 1 Kwa Wareubeni: Eliezeri mwana wa Zikri; 1 kwa Wasimeoni: Shefatia mwana wa Maaka; 1

Read all of 1 Nyakati 27

Cross References

Judges 3:9Waisraeli walipomlilia Bwana, yeye akawainulia mwokozi, Othnieli mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa Kalebu, ambaye aliwaokoa.

1 Chronicles 4:13Wana wa Kenazi walikuwa: 2 Othnieli na Seraya. 1 Wana wa Othnieli walikuwa: 2 Hathathi na Meonathai.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 27:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 27:141 Nyakati 271 Nyakati 27:16 →