The Bible Software
bible.software2 Samweli2 Samweli 23 › 2 Samweli 23:3

2 Samweli 23:3

Mungu wa Israeli alinena, 2 mwamba wa Israeli akaniambia: 1 ‘Mtu anatawala watu kwa haki, 2 wakati anapotawala 2 akiwa na hofu ya Mungu, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The God of Israel said, the Rock of Israel spake to me, He that ruleth over men must be just, ruling in the fear of God.

In Context

2“Roho wa Bwana alinena kupitia kwangu, 2 neno lake lilikuwa ulimini mwangu. 1

4yeye ni kama mwanga wa asubuhi jua lichomozapo 2 asubuhi isiyo na mawingu, 1 kama mwanga baada ya mvua 2 uchipuzao majani kutoka ardhini.’ 1

Read all of 2 Samweli 23

Cross References

Genesis 33:20Pale akajenga madhabahu na kupaita El-Elohe-Israeli. + 33:20 El-Elohe-Israeli maana yake Mungu, Mungu wa Israeli au Mwenye Nguvu ni Mungu wa Israeli.

Exodus 18:21Lakini uchague watu wenye uwezo miongoni mwa watu wote, watu wanaomwogopa Mungu, watu waaminifu wanaochukia mali ya dhuluma, uwateuwe wawe maafisa juu ya maelfu, mamia, hamsini na makumi.

Exodus 20:2“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa Misri, kutoka nchi ya utumwa. 1

Deuteronomy 16:18Wateue waamuzi na maafisa kwa kila kabila lenu katika kila mji ambao Bwana Mungu wenu anawapa, nao watawaamua watu kwa usawa.

Deuteronomy 32:30Mtu mmoja angewezaje kufukuza elfu moja, 2 au wawili kufukuza elfu kumi, 1 kama si kwamba Mwamba wao amewauza, 2 kama si kwamba Bwana amewaacha? 1

2 Samuel 22:2Akasema: 1 “ Bwana ni mwamba wangu, 2 ngome yangu na mwokozi wangu, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 23:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 23:22 Samweli 232 Samweli 23:4 →