The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 23 › 2 Samweli 23:9

2 Samweli 23:9

Wa pili wake alikuwa Eleazari mwana wa Dodai, + 23:9 Dodai tafsiri nyingine zinamwita Dodo. Mwahohi. Akiwa mmojawapo wa wale mashujaa watatu, alikuwa pamoja na Daudi wakati waliwadhihaki Wafilisti waliokuwa wamekusanyika huko Pas-Damimu kwa ajili ya vita. Kisha watu wa Israeli wakarudi nyuma,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And after him was Eleazar the son of Dodo the Ahohite, one of the three mighty men with David, when they defied the Philistines that were there gathered together to battle, and the men of Israel were gone away:

In Context

8Haya ndiyo majina ya mashujaa wa Daudi: Yosheb-Bashebethi, + 23:8 Yosheb-Bashebethi au Yashobeamu ( 1Nya 11:11 ). Mtahkemoni, alikuwa kiongozi wa wale Watatu; yeye aliinua mkuki wake dhidi ya watu 800, ambao aliwaua katika pambano moja.

10lakini yeye alisimama imara akawaua Wafilisti hadi mkono wake ukachoka na ukagandamana na upanga. Bwana akawapa ushindi mkubwa siku ile. Vikosi vikarudi kwa Eleazari, kuteka tu nyara za waliokufa.

Read all of 2 Samweli 23

Cross References

1 Samuel 17:10Kisha yule Mfilisti akasema, “Siku hii ya leo nayatukana majeshi ya Israeli! Nipeni mtu tupigane.”

1 Samuel 17:36Mtumishi wako ameshaua simba na dubu pia; huyu Mfilisti asiyetahiriwa atakuwa kama mmoja wa hao, kwa sababu ameyatukana majeshi ya Mungu aliye hai.

1 Chronicles 8:4Abishua, Naamani, Ahoa,

1 Chronicles 27:4Msimamizi wa kikosi kwa mwezi wa pili alikuwa Dodai Mwahohi. Miklothi ndiye alikuwa kiongozi wa kikosi chake. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 1

Isaiah 63:3“Nimekanyaga shinikizo la zabibu peke yangu; 2 kutoka mataifa hakuna mtu aliyekuwa pamoja nami. 1 Nimewaponda kwa miguu katika hasira yangu 2 na kuwakanyaga chini katika ghadhabu yangu; 1 damu yao ilitia matone kwenye mavazi yangu, 2 na kutia madoa nguo zangu zote. 1

Mark 14:50Ndipo wanafunzi wake wote wakamwacha, wakakimbia.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 23:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 23:82 Samweli 232 Samweli 23:10 →