2 Samweli 23:8
Haya ndiyo majina ya mashujaa wa Daudi: Yosheb-Bashebethi, + 23:8 Yosheb-Bashebethi au Yashobeamu ( 1Nya 11:11 ). Mtahkemoni, alikuwa kiongozi wa wale Watatu; yeye aliinua mkuki wake dhidi ya watu 800, ambao aliwaua katika pambano moja.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 10:7Daudi aliposikia jambo hili, akamtuma Yoabu na jeshi lote la wapiganaji.
1 Chronicles 11:10Hawa ndio waliokuwa wakuu wa mashujaa wa Daudi: wao pamoja na Israeli wote wakauimarisha ufalme wake ili kuenea katika nchi yote, kama Bwana alivyoahidi.
1 Chronicles 27:1Hii ndiyo orodha ya Waisraeli: viongozi wa jamaa, majemadari wa maelfu, majemadari wa mamia na maafisa wao, waliomtumikia mfalme kwa lolote lililohusu vikosi vya jeshi vilivyokuwa zamu mwezi baada ya mwezi katika mwaka mzima. Kila kikosi kimoja kilikuwa na watu 24,000. 1
1 Chronicles 27:32Yonathani mjomba wa Daudi alikuwa mshauri, mtu mwenye ufahamu mkubwa na mwandishi. Yehieli mwana wa Hakmoni alikuwa akiwahudumia wana wa mfalme.