2 Samweli 24:12
“Nenda ukamwambie Daudi, ‘Hivi ndivyo asemavyo Bwana: Ninakupa wewe uchaguzi wa mambo matatu. Nichagulie mojawapo nitakalotenda dhidi yako.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:43Kwa kuwa wataiacha nchi ukiwa, nayo itafurahia Sabato zake wakati itakuwa ukiwa bila wao. Wataadhibiwa kwa ajili ya dhambi zao, kwa sababu walizikataa sheria zangu na kuzichukia amri zangu.
2 Samuel 12:14Lakini kwa sababu kwa kufanya hili umefanya adui za Bwana kuonyesha dharau kabisa, mwana atakayezaliwa kwako atakufa.”
Job 5:17“Heri mtu yule ambaye Mungu humrudi; 2 kwa hiyo usidharau adhabu yake Mwenyezi. + 5:17 Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania Shaddai (hapa na kila mahali katika kitabu hiki cha Ayubu). 1
Jeremiah 30:11Mimi niko pamoja nawe, nami nitakuokoa,’ 2 asema Bwana. 1 ‘Ingawa nitayaangamiza kabisa mataifa yote 2 ambamo miongoni mwao nimewatawanya, 2 sitawaangamiza ninyi kabisa. 1 Nitawaadhibu, lakini kwa haki. 2 Sitawaacha kabisa bila adhabu.’
Revelation 3:19“Wale niwapendao, ninawakemea na kuwaadibisha. Hivyo uwe na bidii ukatubu.