The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 12 › 2 Samweli 12:14

2 Samweli 12:14

Lakini kwa sababu kwa kufanya hili umefanya adui za Bwana kuonyesha dharau kabisa, mwana atakayezaliwa kwako atakufa.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Howbeit, because by this deed thou hast given great occasion to the enemies of the LORD to blaspheme, the child also that is born unto thee shall surely die.

In Context

13Ndipo Daudi akamjibu Nathani, “Nimefanya dhambi dhidi ya Bwana.” Nathani akamjibu, “ Bwana amekuondolea dhambi yako. Hutakufa.

15Baada ya Nathani kurudi nyumbani kwake, Bwana akampiga yule mtoto ambaye mke wa Uria alikuwa amemzalia Daudi, akaugua.

Read all of 2 Samweli 12

Cross References

Nehemiah 5:9Basi nikaendelea kusema, “Mnachokifanya si sawa. Je, haikuwapasa kutembea katika hofu ya Mungu wetu ili tuepukane na shutuma za adui zetu wasioamini?

Psalms 89:31kama wakihalifu maagizo yangu 2 na kutoshika amri zangu, 1

Psalms 99:8Ee Bwana, wetu, 2 ndiwe uliyewajibu, 1 kwa Israeli ulikuwa Mungu mwenye kusamehe, 2 ingawa uliadhibu matendo yao mabaya. 1

Isaiah 52:5“Basi sasa nina nini hapa?” asema Bwana. 1 “Kwa kuwa watu wangu wamechukuliwa pasipo malipo, 2 nao wale wanaowatawala wanawadhihaki,” 4 asema Bwana. 1 “Mchana kutwa 2 jina langu limetukanwa bila kikomo. 1

Amos 3:2“Ni ninyi tu niliowachagua 2 kati ya jamaa zote za dunia; 1 kwa hiyo nitawaadhibu 2 kwa ajili ya dhambi zenu zote.” 1

Romans 2:24Kama ilivyoandikwa, “Kwa ajili yenu ninyi, Jina la Mungu linatukanwa miongoni mwa watu wa Mataifa.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 12:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 12:132 Samweli 122 Samweli 12:15 →