2 Samweli 24:23
Ee mfalme, Arauna anatoa vyote hivi kwa mfalme.” Pia Arauna akamwambia mfalme, “ Bwana Mungu wako na akukubali.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 20:3Na azikumbuke dhabihu zako zote, 2 na azikubali sadaka zako za kuteketezwa. 1
Psalms 45:16Wana wenu watachukua nafasi za baba zenu, 2 mtawafanya wakuu katika nchi yote. 1
Isaiah 60:7Makundi yote ya Kedari yatakusanyika kwako, 2 kondoo dume wa Nebayothi watakutumikia, 1 watakubalika kama sadaka juu ya madhabahu yangu, 2 nami nitalipamba Hekalu langu tukufu. 1
Hosea 8:13Wanatoa dhabihu nilizopewa mimi 2 nao wanakula hiyo nyama, 2 lakini Bwana hapendezwi nao. 1 Sasa ataukumbuka uovu wao 2 na kuadhibu dhambi zao: 2 Watarudi Misri. 1
1 Timothy 2:1Awali ya yote, nasihi kwamba dua, sala, maombezi na shukrani zifanyike kwa ajili ya watu wote: