Isaiah 60:7
Makundi yote ya Kedari yatakusanyika kwako, 2 kondoo dume wa Nebayothi watakutumikia, 1 watakubalika kama sadaka juu ya madhabahu yangu, 2 nami nitalipamba Hekalu langu tukufu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8“Ni nani hawa warukao kama mawingu, 2 kama hua kuelekea kwenye viota vyao? 1
Cross References
Genesis 25:13Haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, yaliyoorodheshwa kulingana na jinsi walivyozaliwa: Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli ni Nebayothi, akafuatia Kedari, Adbeeli, Mibsamu,
Isaiah 21:16Hili ndilo Bwana analoniambia: “Katika muda wa mwaka mmoja, kama vile mtumishi aliyefungwa na mkataba angeihesabu, majivuno yote ya Kedari yatafikia mwisho.
Isaiah 56:7hawa nitawaleta kwenye mlima wangu mtakatifu 2 na kuwapa furaha ndani ya nyumba yangu ya sala. 1 Sadaka zao za kuteketeza na dhabihu zao 2 zitakubalika juu ya madhabahu yangu; 1 kwa maana nyumba yangu itaitwa 2 nyumba ya sala kwa mataifa yote.” 1
Ezekiel 27:21“ ‘Arabuni na wakuu wote wa Kedari walikuwa wanunuzi wako waliobadilishana bidhaa zako na wana-kondoo, kondoo dume na mbuzi.
Haggai 2:7Nitatikisa mataifa yote, nacho kile kinachotamaniwa na mataifa yote kitakuja, nami nitaujaza utukufu katika nyumba hii,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Romans 15:16ili kuwa mhudumu wa Kristo Yesu kwa watu wa Mataifa nikiwa na huduma ya kikuhani ya kutangaza Injili ya Mungu, ili watu wa Mataifa wapate kuwa dhabihu inayokubaliwa na Mungu, iliyotakaswa na Roho Mtakatifu.