2 Samweli 3:18
Sasa fanyeni hivyo! Kwa maana Bwana alimwahidi Daudi akisema, ‘Kwa kupitia Daudi mtumishi wangu nitawaokoa watu wangu Israeli kutoka mikononi mwa Wafilisti na kutoka mikononi mwa adui zako wote.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 9:16“Kesho wakati kama huu nitakupelekea mtu kutoka nchi ya Benyamini. Umtie mafuta awe kiongozi juu ya watu wangu Israeli, ndiye atakayewakomboa watu wangu na mkono wa Wafilisti. Nimewaangalia watu wangu, kwa kuwa kilio chao kimenifikia.”
1 Samuel 15:28Samweli akamwambia, “ Bwana ameurarua ufalme wa Israeli kutoka kwako leo, naye ameutia kwa mmoja wa majirani zako, aliye bora kuliko wewe.
1 Samuel 16:12Basi akatuma aitwe naye akaletwa. Alikuwa mwekundu, mwenye sura nzuri na umbo la kupendeza. Ndipo Bwana akasema, “Inuka na umtie mafuta, huyu ndiye.”
Psalms 89:3Ulisema, “Nimefanya agano na mteule wangu, 2 nimemwapia mtumishi wangu Daudi, 1
Psalms 132:17“Hapa nitamchipushia Daudi pembe, + 132:17 Pembe inawakilisha nguvu. 2 na kuweka taa kwa ajili ya masiya + 132:17 Masiya yaani mpakwa mafuta. wangu. 1