bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 3 › 2 Samweli 3:19
2 Samweli 3:19
Pia Abneri mwenyewe akazungumza na kabila la Benyamini. Kisha akaenda mpaka Hebroni kumwambia Daudi kila kitu ambacho Israeli na nyumba yote ya Benyamini walichotaka kufanya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Abner also spake in the ears of Benjamin: and Abner went also to speak in the ears of David in Hebron all that seemed good to Israel, and that seemed good to the whole house of Benjamin.
In Context
18Sasa fanyeni hivyo! Kwa maana Bwana alimwahidi Daudi akisema, ‘Kwa kupitia Daudi mtumishi wangu nitawaokoa watu wangu Israeli kutoka mikononi mwa Wafilisti na kutoka mikononi mwa adui zako wote.’ ”
20Wakati Abneri aliyekuwa na watu ishirini pamoja naye, alipokuja kwa Daudi huko Hebroni, Daudi akamwandalia karamu pamoja na watu wake.
Read all of 2 Samweli 3
Cross References
1 Samuel 10:20Samweli alipoyasogeza makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachaguliwa.
1 Chronicles 12:30Watu wa Efraimu, mashujaa hodari 20,800, watu waliokuwa maarufu katika koo zao. 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 3:19