The Bible Software
bible.software2 Samuel2 Samuel 3 › 2 Samuel 3:2

2 Samuel 3:2

Wana walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni: 2 Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni mwana wa Ahinoamu wa Yezreeli; 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And unto David were sons born in Hebron: and his firstborn was Amnon, of Ahinoam the Jezreelitess;

In Context

1Vita kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi vilidumu kwa muda mrefu. Daudi akaendelea kuwa imara zaidi na zaidi, wakati nyumba ya Sauli iliendelea kudhoofika zaidi na zaidi. 1

3mzaliwa wake wa pili alikuwa Danieli + 3:3 Jina lingine lake ni Kileabu. mwana wa Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli; 2 wa tatu, Absalomu mwana wa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri; 2

Read all of 2 Samuel 3

Cross References

Genesis 49:3“Reubeni, wewe ni mzaliwa wangu wa kwanza, 2 nguvu zangu, tunda la kwanza la nguvu zangu, 2 umepita kwa heshima, umepita kwa uwezo. 1

1 Samuel 25:43Pia Daudi alikuwa amemwoa Ahinoamu wa Yezreeli, wote wawili wakawa wake zake.

2 Samuel 13:1Ikawa baada ya hayo, Amnoni mwana wa Daudi akampenda Tamari, umbu lake Absalomu mwana wa Daudi, ambaye alikuwa mzuri wa sura.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samuel 3:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samuel 3:12 Samuel 32 Samuel 3:3 →