2 Samweli 3:32
Wakamzika Abneri huko Hebroni, naye mfalme akalia kwa sauti kwenye kaburi la Abneri. Pia watu wote wakalia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
33Mfalme akaimba ombolezo hili kwa ajili ya Abneri: 1 “Je, ilipasa Abneri afe kama afavyo mpumbavu? 2
Cross References
1 Samuel 30:4Hivyo Daudi na watu wake wakapiga yowe mpaka wakaishiwa na nguvu za kulia.
2 Samuel 4:12Kwa hiyo Daudi akawaamuru watu wake, wakawaua. Wakakata mikono yao na miguu, na kutundika viwiliwili vyao kando ya dimbwi huko Hebroni. Lakini wakakichukua kichwa cha Ish-Boshethi na kukizika katika kaburi la Abneri huko Hebroni.
Job 31:28basi hiyo pia ingekuwa dhambi ya kuhukumiwa, 2 kwa kuwa ningekuwa si mwaminifu kwa Mungu aishiye juu sana. 1
Luke 19:41Alipokaribia Yerusalemu na kuuona mji, aliulilia,