The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 3 › 2 Samweli 3:33

2 Samweli 3:33

Mfalme akaimba ombolezo hili kwa ajili ya Abneri: 1 “Je, ilipasa Abneri afe kama afavyo mpumbavu? 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the king lamented over Abner, and said, Died Abner as a fool dieth?

In Context

32Wakamzika Abneri huko Hebroni, naye mfalme akalia kwa sauti kwenye kaburi la Abneri. Pia watu wote wakalia.

34Mikono yako haikufungwa, 2 miguu yako haikufungwa pingu. 1 Ulianguka kama yeye aangukaye 2 mbele ya watu waovu.” Nao watu wote wakamlilia tena.

Read all of 2 Samweli 3

Cross References

2 Samuel 13:12Akamwambia, “Usifanye hivyo, ndugu yangu! Usinitende jeuri! Jambo la namna hii halistahili kufanyika katika Israeli! Usitende jambo hili ovu.

2 Chronicles 35:25Nabii Yeremia akatunga maombolezo kwa ajili ya kifo chake, nao waimbaji wote, wanaume kwa wanawake, hufanya ukumbusho wa Yosia katika maombolezo hadi leo. Haya yakafanywa desturi katika Israeli, nayo yameandikwa katika Maombolezo.

Ecclesiastes 2:15Kisha nikafikiri moyoni mwangu, 1 “Hatima ya mpumbavu itanipata mimi pia. 2 Nitafaidi nini basi kwa kuwa na hekima?” 1 Nikasema moyoni mwangu, 2 “Hili nalo ni ubatili.” 1

Luke 12:19Nami nitaiambia nafsi yangu, “Nafsi, unavyo vitu vingi vizuri ulivyojiwekea akiba kwa miaka mingi. Pumzika; kula, unywe, ufurahi.” ’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 3:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 3:322 Samweli 32 Samweli 3:34 →