The Bible Software
bible.software2 Samweli2 Samweli 3 › 2 Samweli 3:34

2 Samweli 3:34

Mikono yako haikufungwa, 2 miguu yako haikufungwa pingu. 1 Ulianguka kama yeye aangukaye 2 mbele ya watu waovu.” Nao watu wote wakamlilia tena.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thy hands were not bound, nor thy feet put into fetters: as a man falleth before wicked men, so fellest thou. And all the people wept again over him.

In Context

33Mfalme akaimba ombolezo hili kwa ajili ya Abneri: 1 “Je, ilipasa Abneri afe kama afavyo mpumbavu? 2

35Kisha watu wote wakaja kumsihi Daudi ale chochote kulipokuwa kungali bado mchana; lakini Daudi akaapa, akisema, “Mungu na anishughulikie, tena kwa ukali, kama nikionja mkate au kitu kingine chochote kabla ya jua kutua!”

Read all of 2 Samweli 3

Cross References

2 Samuel 1:12Wakaomboleza, wakalia pia na kufunga mpaka jioni kwa ajili ya Sauli na Yonathani mwanawe, kwa ajili ya jeshi la Bwana na nyumba ya Israeli, kwa sababu wameanguka kwa upanga.

Psalms 107:10Wengine walikaa gizani na katika huzuni kuu, 2 wafungwa wakiteseka katika minyororo, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 3:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 3:332 Samweli 32 Samweli 3:35 →