2 Samweli 4:1
Ish-Boshethi mwana wa Sauli aliposikia kwamba Abneri amekufa huko Hebroni, akakosa ujasiri, nayo Israeli yote wakatiwa hofu kuu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 17:2Nitamshambulia wakati akiwa amechoka na ni dhaifu. Nitampiga na hofu, na kisha watu wote walio pamoja naye watakimbia. Nitampiga mfalme peke yake
Nehemiah 6:9Wote walikuwa wakijaribu kutuogopesha, wakifikiri hivi: “Mikono ya watu italegea kiasi kwamba hawataweza kufanya kazi, nayo haitakamilika.” Lakini niliomba, “Ee Mungu, sasa nitie mikono yangu nguvu.”
Isaiah 35:3Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, 2 yafanyeni imara magoti yaliyolegea, 1
Jeremiah 50:43Mfalme wa Babeli amesikia habari kuwahusu, 2 nayo mikono yake imelegea. 1 Uchungu umemshika, 2 maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1
Matthew 2:2wakiuliza, “Yuko wapi huyo aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tumeona nyota yake ikitokea mashariki, nasi tumekuja kumwabudu.”