Isaiah 35:3
Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, 2 yafanyeni imara magoti yaliyolegea, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Strengthen ye the weak hands, and confirm the feeble knees.
In Context
Cross References
Judges 7:11nawe sikiliza wanayosema. Hatimaye, utatiwa moyo kushambulia kambi.” Basi yeye na Pura mtumishi wake wakashuka na kufikia walinzi wa mbele wenye silaha waliokuwa mle kambini.
Job 4:3Fikiri jinsi ambavyo umewafundisha watu wengi, 2 jinsi ambavyo umeitia nguvu 2 mikono iliyokuwa dhaifu. 1
Isaiah 40:1Wafarijini, wafarijini watu wangu, 2 asema Mungu wenu. 1
Isaiah 57:14Tena itasemwa: 1 “Jengeni, jengeni, itengenezeni njia! 2 Ondoeni vikwazo katika njia ya watu wangu.” 1
Zechariah 8:9Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Ninyi ambao sasa mnasikia maneno haya yanayozungumzwa na manabii ambao walikuwepo wakati wa kuwekwa kwa msingi wa nyumba ya Bwana Mwenye Nguvu Zote, mikono yenu na iwe na nguvu ili Hekalu liweze kujengwa.
Luke 22:43Malaika kutoka mbinguni akamtokea, akamtia nguvu.