bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 5 › 2 Samweli 5:20
2 Samweli 5:20
Ndipo Daudi akaenda mpaka Baal-Perasimu, na huko akawashinda Wafilisti. Akasema, “Kama mafuriko yafurikavyo, Bwana amewafurikia adui zangu mbele yangu.” Kwa hiyo mahali hapo pakaitwa Baal-Perasimu. + 5:20 Maana yake Bwana Afurikae.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And David came to Baal-perazim, and David smote them there, and said, The LORD hath broken forth upon mine enemies before me, as the breach of waters. Therefore he called the name of that place Baal-perazim.
In Context
19kwa hiyo Daudi akamuuliza Bwana, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?” Bwana akamjibu, “Nenda, kwa maana hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako.”
21Wafilisti wakaiacha miungu yao huko, naye Daudi na watu wake wakaichukua.
Read all of 2 Samweli 5
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 5:20