2 Samuel 5:21
Wafilisti wakaiacha miungu yao huko, naye Daudi na watu wake wakaichukua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there they left their images, and David and his men burned them.
In Context
22Wafilisti walikwea kwa mara nyingine na kusambaa katika Bonde la Warefai.
Cross References
Deuteronomy 7:5Hili ndilo utakalowafanyia: Vunja madhabahu yao, vunja mawe yao ya kuabudia, katakata nguzo zao za Ashera na kuchoma sanamu zao kwa moto.
1 Samuel 5:2Kisha wakaliingiza lile Sanduku ndani ya hekalu la Dagoni na kuliweka kando ya huyo Dagoni.
Isaiah 37:19Wameitupa miungu yao kwenye moto na kuiangamiza, kwa kuwa haikuwa miungu, bali miti na mawe tu, iliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.
Isaiah 46:2Vinyago pamoja na wale wanaovibeba wanainama chini; 2 hiyo miungu haiwezi kuwaokoa watu, 2 wote wanakwenda utumwani pamoja. 1
Jeremiah 48:7Kwa kuwa mmetumainia matendo yenu na mali zenu, 2 ninyi pia mtachukuliwa mateka, 1 naye Kemoshi + 48:7 Kemoshi alikuwa mungu wa Wamoabu. atakwenda uhamishoni, 2 pamoja na makuhani wake na maafisa wake. 1