The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 6 › 2 Samweli 6:1

2 Samweli 6:1

Tena Daudi akakusanya watu 30,000 wa Israeli waliochaguliwa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Again, David gathered together all the chosen men of Israel, thirty thousand.

In Context

2Yeye na watu wake wote wakatoka Baala ya Yuda + 6:2 Baala ya Yuda ni jina la Kiebrania; yaani Kiriath-Yearimu. kulipandisha Sanduku la Mungu kutoka huko, linaloitwa kwa Jina, naam, jina la Bwana Mwenye Nguvu Zote, ambaye anaketi katika kiti cha enzi kati ya makerubi walioko juu ya hilo Sanduku.

Read all of 2 Samweli 6

Cross References

2 Samuel 5:1Makabila yote ya Israeli yakamjia Daudi huko Hebroni na kumwambia, “Sisi tu nyama yako na damu yako hasa.

1 Chronicles 13:1Daudi alishauriana na kila afisa wake, majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia.

1 Chronicles 13:13Hakulichukua hilo Sanduku akae nalo katika Mji wa Daudi. Badala yake, akalipeleka nyumbani kwa Obed-Edomu, Mgiti.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 6:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
2 Samweli 62 Samweli 6:2 →