The Bible Software
bible.software1 Chronicles1 Chronicles 13 › 1 Chronicles 13:1

1 Chronicles 13:1

Daudi alishauriana na kila afisa wake, majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And David consulted with the captains of thousands and hundreds, and with every leader.

In Context

2Ndipo Daudi akaliambia kusanyiko lote la Israeli, “Kama mkiona ni vyema, na kama ni mapenzi ya Bwana Mungu wetu, tupeleke ujumbe kwa ndugu zetu wengine walio mbali na walio karibu katika nchi yote ya Israeli, pia kwa makuhani na Walawi walio pamoja nao katika miji yao na katika sehemu zao za malisho yao, waje waungane na sisi.

Read all of 1 Chronicles 13

Cross References

2 Samuel 6:1Tena Daudi akakusanya watu 30,000 wa Israeli waliochaguliwa.

1 Chronicles 12:14Hawa Wagadi walikuwa majemadari. Aliyekuwa wa mwisho kuliko wote aliweza kuongoza askari 100, na aliyekuwa na uweza zaidi ya wote aliongoza 1,000.

1 Chronicles 12:32Watu wa Isakari, waliofahamu majira na kujua kile ambacho Israeli inapasa kufanya, walikuwa viongozi 200, pamoja na jamaa zao wote chini ya uongozi wao. 1

2 Chronicles 29:20Ndipo Mfalme Hezekia akainuka asubuhi na mapema, akakusanya pamoja maafisa wa mji wakakwea hekaluni mwa Bwana.

Proverbs 15:22Mipango hushindwa kufanikiwa kwa ajili ya kukosa ushauri, 2 bali kukiwa na washauri wengi hufanikiwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Chronicles 13:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
1 Chronicles 131 Chronicles 13:2 →