The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 6 › 2 Samweli 6:12

2 Samweli 6:12

Kisha Mfalme Daudi akaambiwa, “ Bwana ameibariki nyumba ya Obed-Edomu pamoja na kila alicho nacho, kwa sababu ya Sanduku la Mungu.” Basi Daudi akateremka na kulipandisha Sanduku la Mungu kutoka nyumba ya Obed-Edomu hadi Mji wa Daudi kwa shangwe.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it was told king David, saying, The LORD hath blessed the house of Obed-edom, and all that pertaineth unto him, because of the ark of God. So David went and brought up the ark of God from the house of Obed-edom into the city of David with gladness.

In Context

11Sanduku la Bwana likabaki katika nyumba ya Obed-Edomu, Mgiti, kwa miezi mitatu, naye Bwana akambariki pamoja na nyumba yake yote.

13Wale waliokuwa wamebeba Sanduku la Bwana walipokuwa wametembea hatua sita, Daudi alitoa dhabihu fahali na ndama aliyenoneshwa.

Read all of 2 Samweli 6

Cross References

1 Kings 8:3Wazee wote wa Israeli walipofika, makuhani wakajitwika Sanduku la Agano,

1 Chronicles 15:1Baada ya Daudi kujijengea nyumba zake katika Mji wa Daudi, akatengeneza sehemu kwa ajili ya Sanduku la Mungu, kisha akasimamisha hema kwa ajili yake.

1 Chronicles 15:25Basi Daudi pamoja na wazee wa Israeli na majemadari wa vikosi vya elfu wakaenda ili kulipandisha Sanduku la Agano la Bwana kutoka nyumba ya Obed-Edomu kwa shangwe.

1 Chronicles 26:4Obed-Edomu naye alikuwa na wana wafuatao: 2 Shemaya mzaliwa wa kwanza, 2 Yehozabadi wa pili, 2 Yoa wa tatu, 2 Sakari wa nne, 2 Nethaneli wa tano, 2

Psalms 24:7Inueni vichwa vyenu, enyi malango, 2 inukeni enyi milango ya kale, 2 ili mfalme wa utukufu apate kuingia. 1

Psalms 132:6Tulisikia habari hii huko Efrathi, 2 tulikutana nayo katika mashamba ya Yaara: + 132:6 Yaani Kiriath-Yearimu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 6:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 6:112 Samweli 62 Samweli 6:13 →