The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 26 › 1 Nyakati 26:4

1 Nyakati 26:4

Obed-Edomu naye alikuwa na wana wafuatao: 2 Shemaya mzaliwa wa kwanza, 2 Yehozabadi wa pili, 2 Yoa wa tatu, 2 Sakari wa nne, 2 Nethaneli wa tano, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Moreover the sons of Obed-edom were, Shemaiah the firstborn, Jehozabad the second, Joah the third, and Sacar the fourth, and Nethaneel the fifth,

In Context

3Elamu wa tano 2 Yehohanani wa sita 2 na Eliehoenai wa saba. 1

5Amieli wa sita, 2 Isakari wa saba, 2 na Peulethai wa nane. 2 (Kwa kuwa Mungu alikuwa amembariki Obed-Edomu.) 1

Read all of 1 Nyakati 26

Cross References

2 Samuel 6:12Kisha Mfalme Daudi akaambiwa, “ Bwana ameibariki nyumba ya Obed-Edomu pamoja na kila alicho nacho, kwa sababu ya Sanduku la Mungu.” Basi Daudi akateremka na kulipandisha Sanduku la Mungu kutoka nyumba ya Obed-Edomu hadi Mji wa Daudi kwa shangwe.

1 Chronicles 15:18hawa ndio waliochaguliwa kuwa wasaidizi wao: Zekaria, Yaazieli, Shemiramothi, Yehieli, Uni, Eliabu, Benaya, Maaseya, Matithia, Elifelehu, Mikneya, pamoja na mabawabu Obed-Edomu na Yehieli.

1 Chronicles 15:24Shebania, Yoshafati, Nethaneli, Amasai, Zekaria, Benaya na Eliezeri, makuhani, walikuwa wapiga tarumbeta mbele ya Sanduku la Mungu. Obed-Edomu na Yehiya waliwekwa pia kuwa mabawabu wa Sanduku.

1 Chronicles 16:38Pia akamwacha Obed-Edomu pamoja na wenzake sitini na wanane wahudumu pamoja nao. Obed-Edomu mwana wa Yeduthuni na pia Hosa walikuwa mabawabu wa lango.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 26:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 26:31 Nyakati 261 Nyakati 26:5 →