2 Samweli 6:5
Daudi na nyumba yote ya Israeli walikuwa wanacheza mbele za Bwana kwa nguvu zao zote, kwa nyimbo, vinubi, zeze, matari, kayamba na matoazi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4likiwa na Sanduku la Mungu juu yake, naye Ahio alikuwa anatembea akiwa mbele yake.
Cross References
1 Samuel 16:16Basi bwana wetu na aamuru watumishi wake walioko hapa kutafuta mtu ambaye anaweza kupiga kinubi. Atakipiga kinubi wakati roho mbaya iliyoachiwa nafasi na Mungu ikujiapo, nawe utajisikia vizuri.”
2 Kings 3:15Lakini sasa, nileteeni mpiga kinubi.” Mpiga kinubi alipokuwa akipiga, mkono wa Bwana ukaja juu ya Elisha,
1 Chronicles 15:10Kutoka wazao wa Uzieli, 2 Aminadabu kiongozi na ndugu zake 112.
Psalms 47:5Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, 2 Bwana kwa sauti za tarumbeta. 1
Psalms 150:3Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, 2 msifuni kwa kinubi na zeze, 1
Daniel 3:7Kwa hiyo, mara waliposikia sauti ya baragumu, filimbi, kinubi, zeze, kinanda na aina zote za ala za uimbaji, watu wa kabila zote, mataifa na watu wa kila lugha wakaanguka chini na kuiabudu ile sanamu ya dhahabu ambayo Mfalme Nebukadneza alikuwa ameisimamisha.