1 Nyakati 15:10
Kutoka wazao wa Uzieli, 2 Aminadabu kiongozi na ndugu zake 112.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of the sons of Uzziel; Amminadab the chief, and his brethren an hundred and twelve.
In Context
9Kutoka wazao wa Hebroni, 2 Elieli kiongozi na ndugu zake 80. 1
Cross References
Exodus 6:18Wana wa Kohathi walikuwa Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133. 1
1 Chronicles 6:3Amramu alikuwa na wana: 2 Aroni, Mose, na Miriamu. 1 Aroni alikuwa na wana: 2 Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari. 2
1 Chronicles 6:22Wazao wa Kohathi: 2 Kohathi akamzaa Aminadabu, Aminadabu akamzaa Kora, 2 Kora akamzaa Asiri,