2 Samweli 7:10
Nami nitawapatia watu wangu Israeli mahali niwapande humo ili kwamba wawe na nyumbani kwao wenyewe wasisumbuliwe tena. Watu waovu hawatawaonea tena, kama walivyofanya mwanzoni,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 1:13kwa hiyo wakawatumikisha kwa ukatili.
Exodus 15:17Utawaingiza na kuwapandikiza 2 juu ya mlima wa urithi wako: 1 hapo mahali, Ee Bwana, ulipopafanya kuwa makao yako, 2 mahali patakatifu, Ee Bwana, ulipopajenga kwa mikono yako. 1
Judges 6:2Mkono wa Midiani ukawa na nguvu dhidi ya Israeli na kwa ajili ya Wamidiani, Waisraeli wakajitengenezea mahali pa kujificha milimani, kwenye mapango na ngome.
2 Kings 21:8Sitaifanya tena miguu ya Waisraeli itangetange kutoka nchi niliyowapa baba zao, ikiwa watakuwa waangalifu kufanya kila kitu nilichowaamuru, na kuishika Sheria yote ambayo walipewa na Mose mtumishi wangu.”
Psalms 44:4Wewe ni mfalme wangu na Mungu wangu, 2 unayeamuru ushindi kwa Yakobo. 1
Psalms 80:9Uliandaa shamba kwa ajili yake, 2 mizizi ikawa imara, ukajaza nchi. 1